Nilikwenda Lushoto October- November mwaka jana nikayakuta yanauzwa kwa wingi sana hasa pale Soni (kama sijakosea jina). Wauzaji walisema yanaitwa SAMBIA. Kuhusu ukulima wake kwa kweli sijui japo nami pia nilitamani siku moja niwe na mashina mawili matatu kwenye yard