Jamani wana JF huyu dada katoa maelezo ya kutosha nadhani kashaeleweka issue ni kumsaidia kama mtu umegushwa na unanafasi ya kusaidia hebu fanya hivyo maana tusiendelee kumuenjoy tu bila kumsaidiaNilihisi kubadilisha ingeleta mapokeo tofauti,maana nilitamani kweli mtaji ila sikuweza fikiri kama naweza saidiwa mtaji Bali matumizi madogo madogo kwa atakae guswa tu.
Njoo MWANZA, ramani zinasomeka kama kawaida, Dagaa, furu, to Mbeya utafanikiwa. Mengine njoo pm.Barikiwa kaka,Mungu akujazie zaidi
Usikute ni ID yako unajipigia debe uwakusanye ma zwazwaJamani wana JF huyu dada katoa maelezo ya kutosha nadhani kashaeleweka issue ni kumsaidia kama mtu umegushwa na unanafasi ya kusaidia hebu fanya hivyo maana tusiendelee kumuenjoy tu bila kumsaidia
kaja kuomba msaada sio kwamba anapenda sana kutueleza matatizo yake ni kwa sababu anahitaji msaada wetu hana namna
msaada wa mawazo na wa kipesa na wale tunaompa msaada wa kimawazo tafadhali tutumie lugha nzuri ya kumtia moyo mtu siyo kumtusi na kumkejeli.
na kwa wale mtakaojaliwa kutoa msaada wa kipesa iwe msaada kweli sio kuanzakuhitaji kitu kutoka kwake eti kwa sababu tu umetoa msaada kwake, kumbuka hakuna mtu aliye fika hapo alipo kwa nguvu zake na akili yake mwenyewe kunawatu aidha walikushauli ama kukupatia fedha ikusaidie. tuwe na utu na huruma pia.
kha sikuwez na majibu yako harsh hayoKwanini umenishindwa?
Sasa mbona wewe sikufanyii ivyo?kha sikuwez na majibu yako harsh hayo
Taharifa kivipi ndugu labda nifafanulie!Hawa wanatafuta taarifa za watu, kama anataka msaada kuna makanisa,misikiti,serikali za mitaa, ndugu jamaa na marafiki kwa nini asiende huko, au kwenye groups za whassap na FB, za kuombwa changanya na zakwako.