Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

badilisha uzi omba ela ya mtaji
Nilihisi kubadilisha ingeleta mapokeo tofauti,maana nilitamani kweli mtaji ila sikuweza fikiri kama naweza saidiwa mtaji Bali matumizi madogo madogo kwa atakae guswa tu.
 
Jamani wana JF huyu dada katoa maelezo ya kutosha nadhani kashaeleweka issue ni kumsaidia kama mtu umegushwa na unanafasi ya kusaidia hebu fanya hivyo maana tusiendelee kumuenjoy tu bila kumsaidia
kaja kuomba msaada sio kwamba anapenda sana kutueleza matatizo yake ni kwa sababu anahitaji msaada wetu hana namna
msaada wa mawazo na wa kipesa na wale tunaompa msaada wa kimawazo tafadhali tutumie lugha nzuri ya kumtia moyo mtu siyo kumtusi na kumkejeli.
na kwa wale mtakaojaliwa kutoa msaada wa kipesa iwe msaada kweli sio kuanzakuhitaji kitu kutoka kwake eti kwa sababu tu umetoa msaada kwake, kumbuka hakuna mtu aliye fika hapo alipo kwa nguvu zake na akili yake mwenyewe kunawatu aidha walikushauli ama kukupatia fedha ikusaidie. tuwe na utu na huruma pia.
 
Hawa wanatafuta taarifa za watu, kama anataka msaada kuna makanisa,misikiti,serikali za mitaa, ndugu jamaa na marafiki kwa nini asiende huko, au kwenye groups za whassap na FB, za kuombwa changanya na zakwako.
 
Usikute ni ID yako unajipigia debe uwakusanye ma zwazwa
 
Nimefuatilia huu uzi kwa makini sana, nilichugundua ni kwamba,Huyu mleta mada ni kidume!!
 
Ungeeleze kidogo na elimu yako,ili mtu aweze kukusaidia sio tu hela ya kula bali hata connection ya kazi ambayo ikakufanya uingize hela ya halali!Maana ulivyo desperate mtu asije kukutafutia kazi ya U maid,au nyingine ambayo hautakuwa nayo tayari!Kwa Mbeya mtu akijua hata taaluma yako ni rahisi pia kukusaidia!Hela ya kula unaweza pewa leo na kesho ikaisha,ukaomba tena na tena!Niko Tayari kukusaidia
 
Hawa wanatafuta taarifa za watu, kama anataka msaada kuna makanisa,misikiti,serikali za mitaa, ndugu jamaa na marafiki kwa nini asiende huko, au kwenye groups za whassap na FB, za kuombwa changanya na zakwako.
Taharifa kivipi ndugu labda nifafanulie!
Pia kuwa hapa ni mapendekezo yangu tu kutokana na kuona watu huwa wanasaidiwa Mara kadhaa,lakini sikuona haja ya kuwa huko kwingine ilihali sijawahi Ona jambo hili
 
Nimefuatilia huu uzi kwa makini sana, nilichugundua ni kwamba,Huyu mleta mada ni kidume!!
Natamani unijue na hali yangu au kama kunamtu mbeya hapa,niweze kuonana nae sababu sion haja ya mimi kuwa mnafiki
 
Back
Top Bottom