Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

Ninavyommendea Nokia83 siwezi kuwa mshenga wake, roho itaniuma sana.
 
Mshenga???? Hapana aisee
nini sasa si umemtuma mwenyewe? akikolea lazima arudi kwako msaidie nani kakwambia mshenga lazima awe mwanaume? umemtuma akamtoe mtu kwenye tope unafikiri nani atamrushia kamba we ngoja tuone mchezo unavyokwenda utaniambia ndo utajua nokia ya kitochi yafaa kwa daktari
 
Ninavyommendea Nokia83 siwezi kuwa mshenga wake, roho itaniuma sana.
lazima ukimbinzwe na dogo anaingia mazima bila kuogopa mto una mamba wako pm fullshagwe na muda washabadilishana simu wewe baki tu hapa wakubebishe wao wanafanya yao!
 
lazima ukimbinzwe na dogo anaingia mazima bila kuogopa mto una mamba wako pm fullshagwe na muda washabadilishana simu wewe baki tu hapa wakubebishe wao wanafanya yao!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] sawa tu lakini, najua atarudi hataenda mazima.
 
Rais alisema kufika mwezi wa 6 2017 bado upo mjini bac ww mwanaume. Umengangania mjini mpaka sasa unajifanya kidume. Wenzio tupo vjijini huku tunalima bamia na mvua imetubust kwelikweli. Mi nimekuonea huruma ila naona kma hujajionea huruma mwenyewe.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] sawa tu lakini, najua atarudi hataenda mazima.
we! huko harudi ushaambiwa dogo yuko mbeya unawajua watoto wambeya walivyo? kwanza wanakula vyakula fresh vingi vinatoka shambani mojakwa moja ngozi zao laini na nyororo wanapiga goti kupita kiasi! kitachomrudisha kwako siku atakapo toa 50,0000 akiambiwa na lorry lazima atoke nduki! sasa akirudi ujipange vizuri asipuruchuke
 
Acha kunirusha roho, vibaya hivyo!
 
Acha kunirusha roho, vibaya hivyo!
tehee.....tee...tehee..... nakushauri hamia kwa babu aprin atatutliza maumivu yako ana mkwanja wa kustaafu anatumia na bibi shamba lakini nokia hesabu maumivu huko bize kupita kiasi na kambi mpya ya upinzani yaani ni kama ndo ameanza leo yuko kasi zaidi ya mwanga
 
Aku! Simtaki mwingine!
 
Mungu akufanyie wepesi ndugu ila jitahidi kufanya chochote huko uliko utatoka tu usitegemee mikono mingine tegemea mikono yako itakubarikia
Ahsante sana Dada,napambana basi ni hali hivi karibuni imeniendea vibaya
 
Unashauriwa ufanyiwe mpango wa kazi unadai kibarua unacho ila ofisi imefungwa kwa muda. Sasa kwa nini usikubali utafutiwe kazi kuliko kusubiri kazi ambayo haina uhakika?
Sijakataa kazi ndugu yangu,Mimi nadeal na mambo ya fashion na urembo(makeup artist) ila kwa hapa Nilikuwa nipo katika duka la ndugu tu,japo kafunga kweli kwa muda,alikuwa na matatizo kiasi
 
Pole sana ungeomba hata kusaidiwa hela ya kabiashara hata kutembeza matunda au biashara yoyote ndogo Mungu akusaidie hitaji lako utasaidiwa leo ya kula kesho ukiamka unatakiwa hela nyingine ya kujikimu
Basi msaidiee
 
Sawa nimeelewa kaka,ntazidisha tu umakini lakini Si vyema kuuza simu
 
kama we ni ke nipm
 
Huwa mnuatuponda wanaume wa Dar, haya sasa wale Njemba wa Mikoani dada yenu huyo anamba hifadhi...!
 
Kwa huu uzi naona dalili zote za papuchi kuwaka moto[emoji39] [emoji40]
 
Na hapo ndipo ninapo pata mashaka hata akili yangu inaanza kuhisi huyu ni Me.
"I'm sorry mleta mada, huo ni mtazamo wangu"
Kuaminiana kweli ni kazi ila kama una ndugu yako hapa mbeya naweza meet nae kuthibitisha kweli Nina changamoto kama binadamu wengine wanaopitia magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…