upo kwenye mahusiano?26
Beauty services
Now ninasimamia boutique(japo ni closed kwa muda)
Naweza kuunga kifurushi cha mia tano,na mb,sababu huwa Si download zaidi ya kuchat hivyo kina mudu
Umemsaidia?Hehehehehe
Ha haaa okeeeWajukuu washazoea kumtania babu yao. Ni haki yao kikatiba
Hata wewe unaruhusiwa ila kwa special way...Ha haaa okeee
Dada pole sana, likini naomba nikushauri kitu kidogo suala la kuomba msaada siyo baya issue ni mtazamo wako juu ya huo msaada unaoomba unataka uufanyie nini au ukipata hiyo hela ule leo then kesho uombe tena au unaomba ili upate mtaji wa kufanya kitu furani ambachokitakuingizia kipato!Za leo ndugu zangu,
Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna wengine tunashindwa jihusisha na mambo yasiyo na maadili ili kujipatia kipato, kwani ninaamini kheri kuomba msaada unapokwama kuliko kujificha na kufa na njaa.
Ombi langu kwenu wenzangu, msaada wa kiasi chochote cha pesa ili kusukuma siku wakati nikiendelea kufuatilia ajira. Kwa yeyote atakaeguswa nipo tayari kuweka mawasiliano yangu PM ili kujieleza zaidi.
Mungu awabariki wote watafutaji.
Ni kweli aibu inatuangusha sana. Nawaza hapa hivi nikauze uji stand kweli???? Teh ndo tunabaki kubangaiza tu pesa hakuna! Hili tatizo la aibu ninalo sana mie..Dada pole sana, likini naomba nikushauri kitu kidogo suala la kuomba msaada siyo baya issue ni mtazamo wako juu ya huo msaada unaoomba unataka uufanyie nini au ukipata hiyo hela ule leo then kesho uombe tena au unaomba ili upate mtaji wa kufanya kitu furani ambachokitakuingizia kipato!
unajua wasomi wengi wamekuwa wanajitazama elimu na hadhi waliyonayo hawataki kujishughulisha na kazi ambazo wao wanaziita hazifanani na hadhi yao kwahiyo wanaona bora kuombaomba tu mtaani wakati wanasubiri ajira.
kuna issue nyingi ndogondogo zakukuingizia kipato mfano tengeneza uji alfajiri weka kwenye chupa lako la vikombe hata kumi ingia stand ya busi na hili baridi watu watanunua tu, usiku tena tengeneza hili baridi ni fursa tosha ya biashara ya uji.
hiyo ni moja ya kazi za kufanya watu wanaishi kupitia uji unaweza kuongeza na chapati hapohapo.
issue zipo nyingi tuu ukitaka zingine nitakuambia.
Maswali yananijenga pia,sijfikiria kujihusisha n mahusiano kwa hivi karibu ni,kwani natamani kujiinua kwanza walau niwe na shughuli yangu itakayokidhi nahitaji japo najua umri unaendaupo kwenye mahusiano?
kama ndio vipi shem anachukuliaje hitaji lako? na kama sio dada yangu kwa umri huo unasubiri nini?
Btw, sijapuuzia request yako, usishangae maswali mengi kawaida
Nashukuru sana kaka Paul,Mimi siwezi bagua kitu cha kufanya kama nitakuwa na mtaji wangu, maana napenda pia kupika sana,hasa nimeshiriki maswala haya kwa muda,so chapati,maandazi,chakula kupika na kudeliver naweza,ila sijapata tu supportDada pole sana, likini naomba nikushauri kitu kidogo suala la kuomba msaada siyo baya issue ni mtazamo wako juu ya huo msaada unaoomba unataka uufanyie nini au ukipata hiyo hela ule leo then kesho uombe tena au unaomba ili upate mtaji wa kufanya kitu furani ambachokitakuingizia kipato!
unajua wasomi wengi wamekuwa wanajitazama elimu na hadhi waliyonayo hawataki kujishughulisha na kazi ambazo wao wanaziita hazifanani na hadhi yao kwahiyo wanaona bora kuombaomba tu mtaani wakati wanasubiri ajira.
kuna issue nyingi ndogondogo zakukuingizia kipato mfano tengeneza uji alfajiri weka kwenye chupa lako la vikombe hata kumi ingia stand ya busi na hili baridi watu watanunua tu, usiku tena tengeneza hili baridi ni fursa tosha ya biashara ya uji.
hiyo ni moja ya kazi za kufanya watu wanaishi kupitia uji unaweza kuongeza na chapati hapohapo.
issue zipo nyingi tuu ukitaka zingine nitakuambia.
Kweli nataka moyo Dada,ila nadhani kuna kazi zingine zinazoendana na hizo ambazo hazikufanyi thamani yako ishuke,kama kutengenezea nyumbani chakula au vitafunwa na kudeliver maofisiniNi kweli aibu inatuangusha sana. Nawaza hapa hivi nikauze uji stand kweli???? Teh ndo tunabaki kubangaiza tu pesa hakuna! Hili tatizo la aibu ninalo sana mie..
Nimeku pm unipatie namba yako nikutumie support kidogo ya kutumia wakati ukiendelea kusubiri mlango mwingine utakaofunguka. Tuma basiSitumii PayPal kaka Denis ila Nina namba moja tu ya vodacom, nimekutumia tayari
Ndio maana nimeomba tu kaka kama ndugu yako mwingine ambae angepatwa na shida,sijapenda hali kama hii lakini amini ni mapito tu..Ww huna pesa alafu unaona aibu
Ww inabidi ulale njaa siku 3 ili upate akili weka aibu pembeni utafute pesa
Au uamue ukauze K tu coz unalala na mtaji wako daily