thandiwe
Senior Member
- Oct 27, 2017
- 163
- 164
Za leo ndugu zangu,
Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna wengine tunashindwa jihusisha na mambo yasiyo na maadili ili kujipatia kipato, kwani ninaamini kheri kuomba msaada unapokwama kuliko kujificha na kufa na njaa.
Ombi langu kwenu wenzangu, msaada wa kiasi chochote cha pesa ili kusukuma siku wakati nikiendelea kufuatilia ajira. Kwa yeyote atakaeguswa nipo tayari kuweka mawasiliano yangu PM ili kujieleza zaidi.
Mungu awabariki wote watafutaji.
Updates:
Naendelea kuwashukuru wale wote tukioweza wasikiana private na kunishauri mengi ..zaidi kuwa ni bora nifanye jitihada za kujiajiri kuliko tena kitegemea kazi isiyo na u hakika kwa sasa,na wengi wameuliza kitu ambacho ningefanya kwa mtaji wa wastani na majibu yangu yamekuwa ni FOOD delivery(yaani kupikia nyumbani,kupack safi katika mfumo wa take away na kutafuta masoko katika maofice kadhaa) ambalo hili linawezekana kwa asilimia mia,japo bado changamoto ni mtaji wa kuanzia...
Nime meet na wana jamii forum kadhaa waliopo mbeya,wameahidi kunisaidia pindi wapatapo chochote,japo bado sichoki kuwaomba ndugu zangu. Mawasiliano yangu ni 0762121313,ahsanteni jamii forum kwa kunirekebishia heading, nawish mnisaidie zaidi hata kwa kuwek details zangu wazi..