Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natamani kupata mtaji wa kujiajiri lakini imekuwa shida sana kwa hivi sasa,ndio maana naomba pale ninapokwama,japo nami sio kuwa niwakukaa tu,huwa najitahidiTatizo letu watanzania tunapenda kuomba hela...(tunda lililoiva Ila kuivisha hatutaki).
Omba kitu ambacho kitakusaidia ukapata pesa na sio kuomba pesa....watu wapo maofisini unaweza ukapata mahali wakakuweka ukawa unapata pesa ya kula....swala LA kuombana pesa ni mambo ya kizamani na inaonyesha wazi kuwa we ni mvivu
inabidi uwe open pm unless it will be difficult to be supportedSamahani je nifanyaje kuthibitisha hili
Kweli dada ila nihali tu imenitokea,sipendezwi na hii hali ila ni kheri kudhalilika kwa muda kuliko kufa njaa,inaumiza sanaPole sana ungeomba hata kusaidiwa hela ya kabiashara hata kutembeza matunda au biashara yoyote ndogo Mungu akusaidie hitaji lako utasaidiwa leo ya kula kesho ukiamka unatakiwa hela nyingine ya kujikimu
Kaka nipo mbeya dar niliondoka toka mwezi wa TisaRais alisema kufika mwezi wa 6 2017 bado upo mjini bac ww mwanaume. Umengangania mjini mpaka sasa unajifanya kidume. Wenzio tupo vjijini huku tunalima bamia na mvua imetubust kwelikweli. Mi nimekuonea huruma ila naona kma hujajionea huruma mwenyewe.
pole sana ila ucjal hizo ni changamoto za muda mchache tuMimi siwezi kudanganya Wakati ni kweli napitia magumu
Nimejikuta nakurumia ghafla binti, bahati mbaya sana Mbeya sina ndugu hakikaKuaminiana kweli ni kazi ila kama una ndugu yako hapa mbeya naweza meet nae kuthibitisha kweli Nina changamoto kama binadamu wengine wanaopitia magumu
Vizuri, lakini ukiwa unaomba pesa moja kwa moja tena pesa ya kula...hapo kuna wengine watakufananisha na wale watu wa dodomanatamani kupata mtaji wa kujiajiri lakini imekuwa shida sana kwa hivi sasa,ndio maana naomba pale ninapokwama,japo nami sio kuwa niwakukaa tu,huwa najitahidi
26umri?
taaluma?
unasubiri utakapoajiriwa, ajira gani hiyo??
Unajishughulisha na nini kwa sasa kujipatia kipato?
vipi unaweza kumudi gharama za bando kuingia jf au kuna mtu anakudhamini?