Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

Amenishtua mnooo yaan, huyu JF kajiunga akiwa primary? Maan mwaka huo walio chuo wengi hasa Degree sahiv, walikua std 7. hebu atueleze vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa makini hii ni Jeiefuuu.
 
Ungekuja na ID mpya ya posti ya kwanza kuombea msaada...
Umeingia cha kike WAAAAHHH...............
JF kuna maafisa wapelelezi wa posti ...wamekunyaka....
Jipange upya .... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hapa issue ilipofikia namshauri kijana achukue laki na nusu aliyonayo akabeti, hadi asubuhi ana mamilioni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushauri wa Karne!
 
Hapo mimi natofautiana na wewe, mimi mzazi wangu baada ya kunisomesha kwa shida mpaka nikamaluza form six kiukweli niliachana naye ili awasaidie ndugu zangu wengine maana tulikuwa wengi. Nikaanza kujiongeza mwenyewe mpaka kufanya vibarua na kuuza sokoni ili kupata mahitaji yangu ya chuo na mengineyo. Wazazi wetu walio wengi huwa hawapendi watoto wao wataabike hapa duniani tatizo ni maisha tuu kuwapiga, au mambo kutoenda kama walivyopanga.
Kwa nini wawe na watoto wengi kama maisha yao bahati mbaya hayakuwa mazuri?
 
Habar wa wakuu, heri ya mei mosi.

Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake

Ni mwanafunz wa chuo cha afya hapa Dodoma, nimejaribu kupambania kupata hela ya kulipa kodi nimepata nusu ya deni ninakiasi cha tshs 150000, bado hiyo laki moja,

Kwa upande wa mzazi kwa sasa siwezi mtegemea maana ameyumba kiuchumi, hata kumwelezea shida zangu naona ni kumwongezea mawazo tu, naomben msaada wenu tafadhali

Natumain hapa JF naweza pata msaada, natanguliza shukran zangu za dhati kwenu

Kwa chochote kile mawasiliano
0655680282
Ushauri mbadala hiyo simu unayotumia kuchart huku mbona ingetosha kumaliza tatizo la Tsh laki Moja, na baadae ukafanya mipango ya kupata simu nyingine? Kuomba ni utumwa, waweza kulipa fadhila iumizayo moyo wako
 
Habar wa wakuu, heri ya mei mosi.

Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake

Ni mwanafunz wa chuo cha afya hapa Dodoma, nimejaribu kupambania kupata hela ya kulipa kodi nimepata nusu ya deni ninakiasi cha tshs 150000, bado hiyo laki moja,

Kwa upande wa mzazi kwa sasa siwezi mtegemea maana ameyumba kiuchumi, hata kumwelezea shida zangu naona ni kumwongezea mawazo tu, naomben msaada wenu tafadhali

Natumain hapa JF naweza pata msaada, natanguliza shukran zangu za dhati kwenu

Kwa chochote kile mawasiliano
0655680282
Uza hiyo simu unayotumia kuingilia humu, maliza issue ya chumba then nunua kitochi maisha yaendelee. Yaweza kukuudhi lakini yakakusaidia.
 
Dogo uza smart phone yako kalipe Kodi acha maisha ya gharama mda wake utafika utaishi ishi kutokana na uhalisia
 
Back
Top Bottom