Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

Amenishtua mnooo yaan, huyu JF kajiunga akiwa primary? Maan mwaka huo walio chuo wengi hasa Degree sahiv, walikua std 7. hebu atueleze vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa makini hii ni Jeiefuuu.
 
Ungekuja na ID mpya ya posti ya kwanza kuombea msaada...
Umeingia cha kike WAAAAHHH...............
JF kuna maafisa wapelelezi wa posti ...wamekunyaka....
Jipange upya .... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hapa issue ilipofikia namshauri kijana achukue laki na nusu aliyonayo akabeti, hadi asubuhi ana mamilioni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushauri wa Karne!
 
Kwa nini wawe na watoto wengi kama maisha yao bahati mbaya hayakuwa mazuri?
 
Ushauri mbadala hiyo simu unayotumia kuchart huku mbona ingetosha kumaliza tatizo la Tsh laki Moja, na baadae ukafanya mipango ya kupata simu nyingine? Kuomba ni utumwa, waweza kulipa fadhila iumizayo moyo wako
 
Uza hiyo simu unayotumia kuingilia humu, maliza issue ya chumba then nunua kitochi maisha yaendelee. Yaweza kukuudhi lakini yakakusaidia.
 
Dogo uza smart phone yako kalipe Kodi acha maisha ya gharama mda wake utafika utaishi ishi kutokana na uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…