Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

Hutakiwi kumuonea huruma mzazi wako. Maana hili ni jukumu lake kukusomesha na kukulea mpaka pale utakapo jitegemea!
Wewe muongezee tu mawazo ili akili imkae sawa.

Ifikie wakati tuishi maisha kama ya Wazungu. Haya masuala ya kufyatua tu, halafu watoto wanakuja kuteseka na kusumbua watu wengine hayana tija hata kidogo.

Samahani sana mtoto/mdogo wangu 🙏 kama nitakukwaza kwa haya maneno yangu.
Una upungufu wa busara, mzazi ambaye mtoto wake yupo chuo naye ujuwe umri wake umesogea na uwezo umepunguwa si wa kifedha tu hata tendo la ndoa.

Kuna factor nyingi subili ukuwe uyaone na utajiona ulikuwa mjinga kucomment hivi.
 
Habar wa wakuu, heri ya mei mosi.

Mi nimekuja hapa kuomba msaada wenu , ninaashida ya shs 100,000/= , nikiasi cha pesa kilicho pungua kwenye kodi ya chumba nacho kaa, maana leo mwenye nyumba kajakutaka kutoa vitu vyangu , nikamwomba anivumilie mpaka kesho asubuh ili nimtafutie pesa yake

Ni mwanafunz wa chuo cha afya hapa Dodoma, nimejaribu kupambania kupata hela ya kulipa kodi nimepata nusu ya deni ninakiasi cha tshs 150000, bado hiyo laki moja,

Kwa upande wa mzazi kwa sasa siwezi mtegemea maana ameyumba kiuchumi, hata kumwelezea shida zangu naona ni kumwongezea mawazo tu, naomben msaada wenu tafadhali

Natumain hapa JF naweza pata msaada, natanguliza shukran zangu za dhati kwenu

Kwa chochote kile mawasiliano
0655680282
Just like that unaweka namba na unategemea utumiwe pesa!unafikiri sisi ni wajomba zako?kuwa serious jamaa!!
Hiyo pesa unaweza ukapewa na mtu hata balabalani,lakini lazima uonyeshe uaminifu,hapa kwenye mtandao sio njia nzuri,Bora ungejirekodi watu wakuone kama unashida kweli,au kagonge hodi kwenye geti la mtu hapo uzunguni dodoma,
 
Una upungufu wa busara, mzazi ambaye mtoto wake yupo chuo naye ujuwe umri wake umesogea na uwezo umepunguwa si wa kifedha tu hata tendo la ndoa.

Kuna factor nyingi subili ukuwe uyaone na utajiona ulikuwa mjinga kucomment hivi.
Hongera, umeongea kwa hekima
 
Me kwa mwezi ni 40000, na ninadaiwa tangu mwez February, na kama leo ni tarehe 1, natakiwa kulipa mpaka julai
Nakupa akili next time kwakuwa upo Dodoma na bunge lipo Dodoma unatakiwa kwenda bungeni na wabunge wapo hukatazwi kuingia unakwenda kumuona mbunge wako unamueleza kiukweli changamoto zako lazima utasaidiwa kama hakuna utapeli wowote.

Wakati mwingine muwe mnachangamsha akili, hata mbunge ambaye si wa jimbo lako mwenye huruma anakusaidia, hiyo ni ela ya vocha tu kwao.
 
Just like that unaweka namba na unategemea utumiwe pesa!unafikiri sisi ni wajomba zako?kuwa serious jamaa!!
Hiyo pesa unaweza ukapewa na mtu hata balabalani,lakini lazima uonyeshe uaminifu,hapa kwenye mtandao sio njia nzuri,Bora ungejirekodi watu wakuone kama unashida kweli,au kagonge hodi kwenye geti la mtu hapo uzunguni dodoma,
Kijana ushauri wako mkali sana.
 
Dodoma nzima hakuna vyumba bei chini ya hapo? Ushauri wangu,Ishi kwa hali uliyonayo Tafuta kwingine hama,kwa sababu we bado unatafuta kubaliana na kila hali ili mradi usome tu.
Vinaweza kuwepo ila ni kwa eneolipi? Kwa maeneneo yalio karibu na chuo bei ya chini ni hiyo
 
Nakupa akili next time kwakuwa upo Dodoma na bunge lipo Dodoma unatakiwa kwenda bungeni na wabunge wapo hukatazwi kuingia unakwenda kumuona mbunge wako unamueleza kiukweli changamoto zako lazima utasaidiwa kama hakuna utapeli wowote.

Wakati mwingine muwe mnachangamsha akili, hata mbunge ambaye si wa jimbo lako mwenye huruma anakusaidia, hiyo ni ela ya vocha tu kwao.
Mtoa mada angezipata wapi hekima hizi mbali na JF?
 
Una upungufu wa busara, mzazi ambaye mtoto wake yupo chuo naye ujuwe umri wake umesogea na uwezo umepunguwa si wa kifedha tu hata tendo la ndoa.

Kuna factor nyingi subili ukuwe uyaone na utajiona ulikuwa mjinga kucomment hivi.
Sasa si umchangie hiyo hela badala ya kutaka ligi na mimi! Ukweli utabakia kuwa ukweli tu. Ni wajibu wa kila mzazi kupambana kwa ajili ya familia yake.

No one will fight for your family young boy! Kuna watu wanaenda kukopa kwenye vikoba! Kuna watu wanaenda kukopa benki na kwenye taasisi za kifedha kwa riba kubwa! Kuna wazazi wanauza mpaka asset zao, mfano mashamba, viwanja, vyombo vya moto, nk. Ili watoto wao wasome!

Umeona wamekuja kulia lia humu kuomba msaada? Halafu eti unasema nina upungufu wa busara! Siyo kwamba wewe ndiyo huna uwezo mkubwa wa kufikiri?
 
Vinaweza kuwepo ila ni kwa eneolipi? Kwa maeneneo yalio karibu na chuo bei ya chini ni hiyo
Wewe nitumie namba ya mwenye nyumba nitaongea naye kisha utapata tu hiyo ela kama si kwa msamalia hapa JF nitakupa Access ya kuingia bungeni bila kusumbuliwa na walinzi ili alhamisi wale watu wa mjengoni watakulipia.

Nitakupa mtumishi wa bungeni atakuongoza naamini issue itakuwa solved.

Huo ndio msaada wangu.
 
Sasa si umchangie hiyo hela badala ya kutaka ligi na mimi! Ukweli utabakia kuwa ukweli tu. Ni wajibu wa kila mzazi kupambana kwa ajili ya familia yake.

No one will fight for your family young boy! Kuna watu wanaenda kukopa kwenye vikoba! Kuna watu wanaenda kukopa benki na kwenye taasisi za kifedha kwa riba kubwa! Kuna wazazi wanauza mpaka asset zao, mfano mashamba, viwanja, vyombo vya moto, nk. Ili watoto wao wasome!

Umeona wamekuja kulia lia humu kuomba msaada? Halafu eti unasema nina upungufu wa busara! Siyo kwamba wewe ndiyo huna uwezo mkubwa wa kufikiri?
Mungu akubariki sana, maisha ni safari ukikuwa utaijuwa dunia.
 
Hutakiwi kumuonea huruma mzazi wako. Maana hili ni jukumu lake kukusomesha na kukulea mpaka pale utakapo jitegemea!
Wewe muongezee tu mawazo ili akili imkae sawa.

Ifikie wakati tuishi maisha kama ya Wazungu. Haya masuala ya kufyatua tu, halafu watoto wanakuja kuteseka na kusumbua watu wengine hayana tija hata kidogo.

Samahani sana mtoto/mdogo wangu [emoji120] kama nitakukwaza kwa haya maneno yangu.
Hapo mimi natofautiana na wewe, mimi mzazi wangu baada ya kunisomesha kwa shida mpaka nikamaluza form six kiukweli niliachana naye ili awasaidie ndugu zangu wengine maana tulikuwa wengi. Nikaanza kujiongeza mwenyewe mpaka kufanya vibarua na kuuza sokoni ili kupata mahitaji yangu ya chuo na mengineyo. Wazazi wetu walio wengi huwa hawapendi watoto wao wataabike hapa duniani tatizo ni maisha tuu kuwapiga, au mambo kutoenda kama walivyopanga.
 
Unajuwa kuna mjinga na mpumbavu, ni heri ya mjinga ukimuelimisha anaelewa, ila mpumbavu ni kipaji huwezi kumbadilisha.

Walioweka bodi ya mikopo kwenye vyuo vya elimu ya juu si wajinga, watoto wanapofika stage hiyo familia nyingi za kibongo wazazi wanakuwa wameshaishiwa nguvu za kiuchumi ila kuna wachache sana wanakuwa na uwezo wa kusomesha watoto zao hata Ulaya kwa cash.

Sasa malengo ya bodi ilikuwa ni kusaidia wazazi wasife kabla ya muda wao kwa mizigo ya familia, mzazi anateseka tangu mimba mpaka mtoto anafikisha miaka 21.

Imagine labda una watoto watatu tu kwa miaka 21 uwe unawahudumia wewe ukijumlisha na umri uliokuwa nao wakati wanazaliwa tayari unaanza clinic za kisukari kama umesalimika na stroke, hapo hujamuweka mama yao ambaye ndio mtambo wa kuzalisha stroke na magonjwa yasiyoambukiza.

Kwakweli mimi siamini kama kuna motoni tena, tumeshaunguwa hapa hapa duniani, labda motoni wametengewa wazungu.
 
Unakwenda kuishi kwenye nyumba za gharama wakati hapo dodoma maeneo ya chang'ombe na kikuyu kuna vyumba mpaka vya shiringi elfu ishirini......watu wamewahi kuomba hifadhi msikitini ili waweze kuendelea kusoma chuo kwa kukosa kabisa hela ya kulipia pango....na leo hii ni phd holder.....
 
Wewe nitumie namba ya mwenye nyumba nitaongea naye kisha utapata tu hiyo ela kama si kwa msamalia hapa JF nitakupa Access ya kuingia bungeni bila kusumbuliwa na walinzi ili alhamisi wale watu wa mjengoni watakulipia.

Nitakupa mtumishi wa bungeni atakuongoza naamini issue itakuwa solved.

Huo ndio msaada wangu.
namba ya mwenye nyumba naomba nikutumie inbox
 
Wewe nitumie namba ya mwenye nyumba nitaongea naye kisha utapata tu hiyo ela kama si kwa msamalia hapa JF nitakupa Access ya kuingia bungeni bila kusumbuliwa na walinzi ili alhamisi wale watu wa mjengoni watakulipia.

Nitakupa mtumishi wa bungeni atakuongoza naamini issue itakuwa solved.

Huo ndio msaada wangu.
Inbox yako imefungwa
 
Back
Top Bottom