Naomba msaada wa kifedha nilipie pango. Mwenye nyumba kaja kutoa vitu

Unajuwa kuna mjinga na mpumbavu, ni heri ya mjinga ukimuelimisha anaelewa, ila mpumbavu ni kipaji huwezi kumbadilisha.

Walioweka bodi ya mikopo kwenye vyuo vya elimu ya juu si wajinga, watoto wanapofika stage hiyo familia nyingi za kibongo wazazi wanakuwa wameshaishiwa nguvu za kiuchumi ila kuna wachache sana wanakuwa na uwezo wa kusomesha watoto zao hata Ulaya kwa cash.

Sasa malengo ya bodi ilikuwa ni kusaidia wazazi wasife kabla ya muda wao kwa mizigo ya familia, mzazi anateseka tangu mimba mpaka mtoto anafikisha miaka 21.

Imagine labda una watoto watatu tu kwa miaka 21 uwe unawahudumia wewe ukijumlisha na umri uliokuwa nao wakati wanazaliwa tayari unaanza clinic za kisukari kama umesalimika na stroke, hapo hujamuweka mama yao ambaye ndio mtambo wa kuzalisha stroke na magonjwa yasiyoambukiza.

Kwakweli mimi siamini kama kuna motoni tena, tumeshaunguwa hapa hapa duniani, labda motoni wametengewa wazungu.
Unatokwa na povu kana kwamba mtoa mada ndiye kiumbe pekee mwenye shida hapa nchini! Si umsaidie?

Maneno mengi ya kejeli ya nini sasa! Ujuaji mwingi, kumbe bongotole tu.
 
Wewe nitumie namba ya mwenye nyumba nitaongea naye kisha utapata tu hiyo ela kama si kwa msamalia hapa JF nitakupa Access ya kuingia bungeni bila kusumbuliwa na walinzi ili alhamisi wale watu wa mjengoni watakulipia.

Nitakupa mtumishi wa bungeni atakuongoza naamini issue itakuwa solved.

Huo ndio msaada wangu.
Huu ndiyo utu tunaouhimiza kila siku.
 
Unakwenda kuishi kwenye nyumba za gharama wakati hapo dodoma maeneo ya chang'ombe na kikuyu kuna vyumba mpaka vya shiringi elfu ishirini......watu wamewahi kuomba hifadhi msikitini ili waweze kuendelea kusoma chuo kwa kukosa kabisa hela ya kulipia pango....na leo hii ni phd holder.....
Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizukuru Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakupa akili next time kwakuwa upo Dodoma na bunge lipo Dodoma unatakiwa kwenda bungeni na wabunge wapo hukatazwi kuingia unakwenda kumuona mbunge wako unamueleza kiukweli changamoto zako lazima utasaidiwa kama hakuna utapeli wowote.

Wakati mwingine muwe mnachangamsha akili, hata mbunge ambaye si wa jimbo lako mwenye huruma anakusaidia, hiyo ni ela ya vocha tu kwao.
Hata hivyo, pia Ni lazima uende na evidences, kwamba unashida na Kodi na kwamba wewe Ni mwanafunzi, eg barua toka serikali ya mtaa unapokaa wewe. Vinginevyo watu hawasaidii kwakuwa matapeli Ni wengi.
 
Tafuta vyumba vya uwezo wako...mwenzio natamani kupanga nyumba ya 500000 kwa mwez ila uwezo wangu umeishia 100000 kwa mwez
 
Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizukuru Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana wangu hili jina unalikubali sana
 
Hata hivyo, pia Ni lazima uende na evidences, kwamba unashida na Kodi na kwamba wewe Ni mwanafunzi, eg barua toka serikali ya mtaa unapokaa wewe. Vinginevyo watu hawasaidii kwakuwa matapeli Ni wengi.
Kabisa
 
Ndio nimetokea familia bora kimaadili
Kabisa, si uongo. Hongera! Mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii zukuru Mgikuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dodoma nzima hakuna vyumba bei chini ya hapo? Ushauri wangu,Ishi kwa hali uliyonayo Tafuta kwingine hama,kwa sababu we bado unatafuta kubaliana na kila hali ili mradi usome tu.
Unaijua DODOMA wewe?kule kuna gharama
 
Unajuwa kuna mjinga na mpumbavu, ni heri ya mjinga ukimuelimisha anaelewa, ila mpumbavu ni kipaji huwezi kumbadilisha.

Walioweka bodi ya mikopo kwenye vyuo vya elimu ya juu si wajinga, watoto wanapofika stage hiyo familia nyingi za kibongo wazazi wanakuwa wameshaishiwa nguvu za kiuchumi ila kuna wachache sana wanakuwa na uwezo wa kusomesha watoto zao hata Ulaya kwa cash.

Sasa malengo ya bodi ilikuwa ni kusaidia wazazi wasife kabla ya muda wao kwa mizigo ya familia, mzazi anateseka tangu mimba mpaka mtoto anafikisha miaka 21.

Imagine labda una watoto watatu tu kwa miaka 21 uwe unawahudumia wewe ukijumlisha na umri uliokuwa nao wakati wanazaliwa tayari unaanza clinic za kisukari kama umesalimika na stroke, hapo hujamuweka mama yao ambaye ndio mtambo wa kuzalisha stroke na magonjwa yasiyoambukiza.

Kwakweli mimi siamini kama kuna motoni tena, tumeshaunguwa hapa hapa duniani, labda motoni wametengewa wazungu.
sisi wazungu wa kwa mpalange hatuchomwi moto ,ni waisrael tunaingia paradise free(taifa teule).

Waafrika mjiandae kisaikolojia mioto miwili mpaka maji mseme mmmai
 
Back
Top Bottom