Naomba msaada wa kimaelezo kwenye hili

Naomba msaada wa kimaelezo kwenye hili

mchagger

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
864
Reaction score
1,064
Nipo kwenye mchakato wa mkopo na bank fulani hapa mjini.

Mimi ni mfanyabiashara wa duka la mahitaji ya nyumbani. Nina mtaji wa milioni 7, yaani kwa hesabu za haraka kwa mali iliyopo sasa nahitaji mkopo wa milioni 15 ila naambiwa unakopeshwa nusu ya mtaji ulionao.

Uwezo wa kulipa hiyo milioni 15 niliyoomba ninao maana nina biashara nyingine nafanya inayoniingizia kipato na dhamana ninayo yenye zaidi ya thamani ya milioni 50.

Naomba msaada wa kikanuni za bank maana ndio mara ya kwanza kwenda kukopa bank.
 
Nakushauri hiyo hela ambayo ungetumia kulipadeni kutoka kwenye biashara nyingine iingize kwenye duka. Kila mwezi ingiza hela ambazo ungechangia kulipa riba. Grow slowly.
 
Nakushauri hiyo hela ambayo ungetumia kulipadeni kutoka kwenye biashara nyingine iingize kwenye duka. Kila mwezi ingiza hela ambazo ungechangia kulipa riba. Grow slowly.
Yaani huu uzi ww ndio umemaliza kuchangia asipofuata huu ushauri kuna kitu anakitafuta ila Sio ushauri
 
Back
Top Bottom