mchagger
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 864
- 1,064
Nipo kwenye mchakato wa mkopo na bank fulani hapa mjini.
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la mahitaji ya nyumbani. Nina mtaji wa milioni 7, yaani kwa hesabu za haraka kwa mali iliyopo sasa nahitaji mkopo wa milioni 15 ila naambiwa unakopeshwa nusu ya mtaji ulionao.
Uwezo wa kulipa hiyo milioni 15 niliyoomba ninao maana nina biashara nyingine nafanya inayoniingizia kipato na dhamana ninayo yenye zaidi ya thamani ya milioni 50.
Naomba msaada wa kikanuni za bank maana ndio mara ya kwanza kwenda kukopa bank.