Kwa sasa ni hisense mzee ndio ipo moto. Picha yake ipo vizuri sana.Ndugu wanajamiiforum
Nataka kubadili tv nichukue flat nzuri zaidi maana nilikua na Singsung nchi 25....
So Achukue ya bei gani?Ya nini kuchukua tv ya gharama, yenye uwezo wa 4K na specifications zingine Kali Kali,alaf unaenda kuangalizia sinema zetu?
Chukua tv ya kawaida tu, then kula maisha. Itadumu kutegemeana na umakini wako tu.
So Achukue ya bei gani?
We unafanya Kazi clouds?Aweke bajeti yake iwe rahisi kushauriwa...
Star X nch 43 akiwa na around 700 anachukuaSo Achukue ya bei gani?
We unafanya Kazi clouds?
Hongera mkuu maana buku zetu za mchongo pesa lazima muache urithi wa maghorofaNafanya kazi karibu na Clouds
Nina LG yangu nchi 49 imekufa kioo, ni wapi nitapata mkuu....na bei ikoje.Unajua sisi watanzania tunapenda sana kuiga maisha binafsi tv bora ni tv yenye kuendana na kipato na maisha yako ki ujumla ... sasa unakuta mtu anakuambia ujipindee uchukue LG au Samsung au Sony wakati kwenye maintenance itakutoa ushuzii......
KariakooNina LG yangu nchi 49 imekufa kioo, ni wapi nitapata mkuu....na bei ikoje.
Hongera mkuu maana buku zetu za mchongo pesa lazima muache urithi wa maghorofa