Ndugu wanajamiiforum
Zitatajwa kila kampuni ila kwa sasa sijaona na sidhani kama HISENSE ana mpinzani.
ukiwatoa hao uliowataja,HAKUNA tv kukuta HISENSE.
Ila kama ni.mpenda ma TV yenye ma double glass, ukifika dukani wanalipiga piga na Remote kukuonyesha ubora wake HISENSE sio chaguo lako.
One and Only HISENSE
Nataka kubadili tv nichukue flat nzuri zaidi maana nilikua na Singsung nchi 25
Wakuu ni TV ni brand gani ya tv za flat ni nzuri,imara,picha nzuri, na zenye ubora?
Maana sahivi TV zimekua nyingi sana madukani na Brand tofauti tofauti
Ukiachana na Samsung, Sony, Lg, Tcl nk ambazo tv zake ni nzuri ila bei ni imechangamka kidogo, ni brand gani hizi za kichina au zisizo za kichina ambazo ni nzuri sana kwa mtu kununua?
Nataka nichukue inch 32 au inchi 40 ndo maana nauliza ni brand ipi nzuri na affordable ila nzuri kununua?