Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

Unajua sisi watanzania tunapenda sana kuiga maisha binafsi tv bora ni tv yenye kuendana na kipato na maisha yako ki ujumla ...

sasa unakuta mtu anakuambia ujipindee uchukue LG au Samsung au Sony wakati kwenye maintenance itakutoa ushuzii...

Nikizungumzia maintenance nazungumzia tatizo ambalo ni majanga kwa wengi,ambay kioo cha tv... je utakuwa na uwezo wa kubadilii ?? Je mfuko wa shatii inasoma?

Zipo tv zenye uwezo wa kukidhi mahitaji mfano
  • Blackstone
  • TCL
  • Hisense
  • Star x

Zenye kuleta muonekano mzuri ni nchi 28 na kuendelea
Umemaliza
 
Watu wengine kwakweli hatuoni kabisa hizo tofauti kulingana na matumizi yetu

Nina Samsung nilinunua 2m baada ya wafanyakazi wenzangu kuinunua na kuisifia sana
Nyumba ndogo nina Stat X nilinunua 800k
Tv zote ni nchi 50
Kiukweli kwa mie muangalia tv labda na movie mara moja moja sijaona tofauti yoyote

Hapa ni kula kwa urefu wa kamba yako
 
Back
Top Bottom