lisbon eliado tibeliado
Member
- Jun 7, 2020
- 41
- 11
utasoma ila utaingia mfukoni mwako.hakuna mkopo unaweza pata hapohabari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali ndugu zangu maana niliwahi kusikia kuna namna flani hapo
CHANGAMKIA VYUO VYA PRIVATE UKAPIGE SHULE MKUU.habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali ndugu zangu maana niliwahi kusikia kuna namna flani hapo
sawa mkuu,ahsante sanaMambo yakiwa ngumu nenda Open university watakushauri either uanzie na Foundation au kama Cut point zako zinakubali ukapige degree huko, kama Bsc.Environmental health, food science na maswala ya diet e.t.c na koz zingine za sayansi, Kazi kwako muda ndo huu
hiyo haina shida mkuu,naomba taarifa zaidi tafadhaliutasoma ila utaingia mfukoni mwako.hakuna mkopo unaweza pata hapo
Anzia kuomba KIU hapo gomshiyo haina shida mkuu,naomba taarifa zaidi tafadhali