Naomba msaada wa kulipiwa masomo yangu

Naomba msaada wa kulipiwa masomo yangu

FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
915
Reaction score
638
Wakuu naomba kujuzwa makampuni,iwe ya kimataifa au ya ndani ya nchi ambayo yanaweza kunilipia masomo ya Masters katika Vyuo vya ndani ya nchi hata kama ni part-time au chuo kikuu huria au Full-time.

Nipo tayari kusomeshwa kwa mkataba kama ni taasisi au shirika litakalo nilipia Ada. Shida yangu ni ADA TU, mahitaji mengine nitajigharimia.
Program: MA Education, Project Management.

Kwa watakaoguswa wanijulishe kwa Email:boscohaule@yahoo.com
 
kuna tangazo sijui toka PSPF ama PPF wanatoa mikopo hebu angalia huko waweza bahatika
 
We jamaa bosco umesoma wap bachelor?? am sorry kwa kwenda kinyume na topic ni kama jina co gen thats y nmeulza, ka nmekuudh nsameh bure
 
Hapa ndo huwa sioni faida ya kusoma ... una bachelor lakini bado unataka usomeshwe!!😕😕.
 
kuna tangazo sijui toka PSPF ama PPF wanatoa mikopo hebu angalia huko waweza bahatika

Sio PSPF wala PPF, ni LAPF pekee ndo inatoa mikopo hiyo.
Ingia hapa usome zaidi:

LAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Kama utahitaji maelezo zaidi ya mikopo hii watembelee kwenye ofsi zao, DODOMA MJINI KARIBU NA STENDI YA JAMATINI, EASTERN ZONE PALE MILLENIUM TOWERS 7th Floor, DAR ES SALAAM ZONE DIPLOMATIC HOUSE, 3RD FLOOR, MWANZA Pale EKA CLIFF 1st FLOOR WING A, ni maeneo karibu na JIJI, ARUSHA pale SUMMIT CENTRE, IRINGA wako ASSAS REAL ESTATE, GROUND FLOOR..
 
Back
Top Bottom