Naomba msaada wa kuondoa madoa na chunusi usoni

Hizo botuer hata usitumie, zinachubua.
Opt kutumia njia za asili zaidi. Lakini kumbuka mafuta ni hatua ya mwisho ktk kuitunza ngozi yako.
 
Aongezee na kutotumia pilipili.
 
Hizo botuer hata usitumie, zinachubua.
Opt kutumia njia za asili zaidi. Lakini kumbuka mafuta ni hatua ya mwisho ktk kuitunza ngozi yako.
Juzi kati nimenusurika kuinunua. Nilistop baada ya kuona imeandikwa whitening skin
 
Jaribu kuangalia mlo wako unaokula kama unakula sana wanga na sukari pia vinachangia kuleta chunusi, kama hivyo ndivyo basi punguza au acha kabisa wanga na sukari kwa muda kunywa maji mengi na mazoezi angalau 30 minutes kwa siku halafu leta mrejesho.

Pia kama unaweza kubadili mafuta ya kupikia kulingana na mazingira unamoishi basi tumia mafuta ya nazi, samli, au olive pia kwani mafuta ya mbegu yakitumika sana yanaweza kusababisha hiyo hali.
 
Mkuu una umri gani? hivyo vitu vinaendana na umri...ukishafika 30 Hakuna chunusi zitakusumbuwa,,,sasa utahangaika sana,,cha kukushauri TAFUTA SABUNI NZRI YA MEDICATED..na lotion ambayo sio strong,,,

Na usitumie cream yeyote,,,hyo cream ndy inakuletea chunusi...hakikisha usiku unaosha USO wako na SABUNI then usipake lotion yeyote...iwe unapaka lotion asubuhi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…