Naomba msaada wa kuondoa madoa na chunusi usoni

Tafuta sabuni flani iv inaitwa AHSANTE ya ukwaju.. Baada ya mwez mmoja na nusu njoo hapa utoe ushuhuda.. Tumia kwa kunawia Au kuogea.... Achana na vi tube vitakuchubua
Mkuu hiyo sabuni haiachi makovu labda.
 
Tafuta sabuni flani iv inaitwa AHSANTE ya ukwaju.. Baada ya mwez mmoja na nusu njoo hapa utoe ushuhuda.. Tumia kwa kunawia Au kuogea.... Achana na vi tube vitakuchubua
Mkuu vp ukitumia sabun hio ,mafut au lotion gani inafaa kujipaka usoni?
 
Apply Aloe vera to your face

Leave for 20 minutes

Wash with warm water

Aloe vera can heal pimples and blemishes
 
Usitie mafuta usoni mwako ikiwa una chunusi. Itafanya hali yako kuwa mbaya zaidi
 
Muone hyu dada anaitwa Director joan ana product nzuri sana zisizochubua ngozi kuondoa chunusi kbs mimi natumia natumia product zake nina ushuhuda

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta sabuni flani iv inaitwa AHSANTE ya ukwaju.. Baada ya mwez mmoja na nusu njoo hapa utoe ushuhuda.. Tumia kwa kunawia Au kuogea.... Achana na vi tube vitakuchubua
Mkuu hiyo sabuni inapatikana wapi kwa dar?
Na inauzwaje?
 
Asijaribu kutumia chochote ataacha makovu badae. Chunusi huisha kwenye umri flani ukifika. Zitasumbua miaka 2 had 3 ila zinaisha na uso unakua kawaida
 
kuna mafuta yanaitwa Herbal yanauzwa 2000 ni kiboko ya matatizo
 
Usitie mafuta usoni mwako ikiwa una chunusi. Itafanya hali yako kuwa mbaya zaidi
nilidanganywa hivi kumbe haifai

usipotia kilainishi usoni unafanya USO wako ujitengenezee mwenyewe na. matatizo yanakuwa hayaishi
 
Tafuta sabuni flani iv inaitwa AHSANTE ya ukwaju.. Baada ya mwez mmoja na nusu njoo hapa utoe ushuhuda.. Tumia kwa kunawia Au kuogea.... Achana na vi tube vitakuchubua
Sawa lakin mm bado sijajua matumizi yake yan sijui nakosea kwasababu kila nikapata usoni huwa inanichoma sna arf nikisha nawa uso unakuwa kama umebabuka iv arf ukishakauka unakuwa kama kuna mbaa sijui tangotango yani hata sielwi ebu naomba niamby jinsi ya kutumia huwa haipakwi usoni au
 
Mimi mwenyewe hii sabuni imenibabua uenda pia sijui matumizi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…