Naomba msaada wa kuondoa madoa na chunusi usoni

Hakuna njia Moja madhubuti ya kuondoka Chunusi. Chunusi huondoka Kwa kufanya majaribio ya njia kadhaa na wakati mwingine kubadili mtindo wa maisha. Chunusi huja Kwa sababu mbalimbali kama aina ya ngozi, maisha mpaka hormone.
Ungeweka picha angalau Kuonesha aina ya Chunusi ingakua rahisi kukushauri njia sahihi. Mfano unaweza shauriwa BHA lakini kama Ngozi yako ni sensitive itaharibika zaidi au jus react vibaya. Lakini BHA ndio bingwa wa Chunusi Duniani. Pia unaweza kurudi Kwa AHA kama una rough skin na sensitive Kwa pamoja.
Utamaliza maduka na unaweza usipate suluhisho. Kuna wakati inabidi usipake chochote Kwa miezi kadhaa ili ngozi ijitibu kiasiri.
 
Tafuta sabuni flani iv inaitwa AHSANTE ya ukwaju.. Baada ya mwez mmoja na nusu njoo hapa utoe ushuhuda.. Tumia kwa kunawia Au kuogea.... Achana na vi tube vitakuchubua
Kaka hizo sabuni ni bei gani na zinapatikana wapi kwa dar
 
Tafuta sabuni flani iv inaitwa AHSANTE ya ukwaju.. Baada ya mwez mmoja na nusu njoo hapa utoe ushuhuda.. Tumia kwa kunawia Au kuogea.... Achana na vi tube vitakuchubua
Samahani hii sabuni nimeitumia na matokeo nimeyaona, naomba unisaidie je naweza endelea nayo au naweza badili na nikibadili nitumie ipi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…