mfuaji
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 632
- 1,104
Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea.
Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo utundu ilikusudi akaunti yangu irudi.
Cc: Poor Brain.
Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo utundu ilikusudi akaunti yangu irudi.
Cc: Poor Brain.