Swala dogo sana hilo kwanza kama namba hakuna . fanya tupate laini kwanza mkuuWakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea.
Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo utundu ilikusudi akaunti yangu irudi.
Cc: Poor Brain.
Kuna njia ya email au kutumia factory reset fax numberBila sim card husika kutoboa ni ngumu
Karibu mkuu japo sio IT mkubwa sana ila kwa uchache naweza kukupa msaada
MsaidieKuna njia ya email au kutumia factory reset fax number
Tayari mkuuMsaidie
Akijujibu nitagHebu nielekeze mkuu maana Niko taabuni.
Huyo mtu inabidi tujue mkuu ni naniLaini sina, ilishafutiwa usajoli na kupewa mtu mwingine.
Sww mkuu ngoja nitoke jobHebu nielekeze mkuu maana Niko taabuni.
Ndio mkuuAliyepewa laini au.