Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

Joined
Jan 26, 2019
Posts
87
Reaction score
113
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana simu yangu sasa lile faili la kuzima na kuwasha data(Mobile data Icon) limetoweka sasa hivi napitia changamoto ya kuingia mpaka faili la settings ndio niwashe ,Je nawezaje kuirejesha hiyo file kwa juu
 

Attachments

  • Screenshot_20241022_031357_Settings.jpg
    Screenshot_20241022_031357_Settings.jpg
    99.6 KB · Views: 13
TUPA HILO KALKULETA

Chukua iphone 16s

Haina huo ujinga
 
Tafuta tecno camon 30 au infinix note 40 achana na uchafu huo.
 
Uliupdate Security patch ya mwezi gani?
 
Back
Top Bottom