BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
- Thread starter
- #41
Kanitukana sana huyu jamaaAvumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.
Yaani tapeli alikua kama anachambua ukoo wangu hivi, anantukania mke, mama, mjomba, shangazi anaenda hadi kwa babu na bibi me nasikiliza tuu.