Naomba msaada wa kwenda ulaya

Naomba msaada wa kwenda ulaya

Wakilimkuu

Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
91
Reaction score
106
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
 
Tafuta mtu ambaye ana mtu huko ambaye ameishi kitambo akupe mchongo wa kwenda kutembea. Ukifika unatafuta kazi kama ya kusaidia mgonjwa ambaye anahitaji 24/7 care then utatumia hicho kisingizio kuongeza siku za kuishi hadi watakapokupa kibali cha kukaa miezi mingi zaidi. Hapo utatafuta hata chuo uanze kusoma elimu ya diploma usomee hata unesi then unaunga huko huko kuomba working permit.
 
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
Kwa sasa WakiliMkuu tafuta tu viza ya kwenda Rwanda moja kwa moja. Ulaya ukifika tu na hizi koneksheni... Watakurudisha...Rwaaandaaa.

Rahisi zaidi, jitose Ubalozini(EU)? there is nothing to loose. Itoshe unaweza kuwa na kismeti wakakuajiri hapo hapo kwa ujasiri. Mishahara yao haipishani na ya huko Ulaya. Na ni bora zaidi ukapata ajira hapahapa nchini. Utaweza kuwa na Familia yako kila siku.

Kazi kweli. Tundu Lissu amerudi hata na Lema!
 
Form four ufaulu wako ukoje ? Kama ni mzuri ingia kwenye mtandao tafuta chuo ulaya omba lipia ada watakupa barua ya kuombea visa Nenda kasome huku macho juu juu unaangalia fursa.Njia ya kwenda kusoma ndio njia Rahisi sana ya kwenda Ulaya
Kabisa
Ada na nauli.....
 
Tafuta mtu ambaye ana mtu huko ambaye ameishi kitambo akupe mchongo wa kwenda kutembea. Ukifika unatafuta kazi kama ya kusaidia mgonjwa ambaye anahitaji 24/7 care then utatumia hicho kisingizio kuongeza siku za kuishi hadi watakapokupa kibali cha kukaa miezi mingi zaidi. Hapo utatafuta hata chuo uanze kusoma elimu ya diploma usomee hata unesi then unaunga huko huko kuomba working permit.
Mfano nchi gani ya ulaya mkuu ambayo unaweza kuingia kwenye mfumo wao wa ukaaji kirahisi hivyo?
 
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
Mtafute ommy dimpose
 
Back
Top Bottom