Naomba msaada wa kwenda ulaya

Naomba msaada wa kwenda ulaya

Kwa sasa WakiliMkuu tafuta tu viza ya kwenda Rwanda moja kwa moja. Ulaya ukifika tu na hizi koneksheni... Watakurudisha...Rwaaandaaa.

Rahisi zaidi, jitose Ubalozini(EU)? there is nothing to loose. Itoshe unaweza kuwa na kismeti wakakuajiri hapo hapo kwa ujasiri. Mishahara yao haipishani na ya huko Ulaya. Na ni bora zaidi ukapata ajira hapahapa nchini. Utaweza kuwa na Familia yako kila siku.

Kazi kweli. Tundu Lissu amerudi hata na Lema!
Lema alikuwa ulaya??
Shule na mtaani umesomea upumbavu.
 
Kama kweli ni shoga
Screenshot_2024-05-18_104619_1716009469510_1716009486199.jpg
 
Lema alikuwa ulaya??
Shule na mtaani umesomea upumbavu.
Kwamba wewe umesomea vitu vya maana?

Na kama umesomea vitu vya maana, usinge fanya kitu kinaitwa Ad Hominem.
...
Badala ya kujikita kwenye mada, utoe ushauri ama msaada, wewe unajikita kwenye Elimu yangu.


Soma tena.
 
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
Umeishia standard 4! Utaweza kujazo form za uhamiaji za kutoka na kuingia au utaomba msaada ujaziwe!
Nakushauri nunua nguo za kiaskofu na bibilia kisha muda wote unasema "in the name of jesus' utafanikiwa na utapewa makazi kwa mapadri.
 
Tafuta mtu ambaye ana mtu huko ambaye ameishi kitambo akupe mchongo wa kwenda kutembea. Ukifika unatafuta kazi kama ya kusaidia mgonjwa ambaye anahitaji 24/7 care then utatumia hicho kisingizio kuongeza siku za kuishi hadi watakapokupa kibali cha kukaa miezi mingi zaidi. Hapo utatafuta hata chuo uanze kusoma elimu ya diploma usomee hata unesi then unaunga huko huko kuomba working permit.
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom