Wakilimkuu
Member
- Apr 15, 2024
- 91
- 106
Vp kuhusu meli?Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada wa natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya,pasport ninayo naomba mwenye connectionsu aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani ๐
Je? Wakitaka kumhakiki itakuwaje?Ukisema wewe ni shoga na unanyanyasika kutokana na ushoga wako, nchi za Ulaya zinakupa hadhi ya ukimbizi fasta
Atasema ana blidiJe? Wakitaka kumhakiki itakuwaje?
๐๐Ukisema wewe ni shoga na unanyanyasika kutokana na ushoga wako, nchi za Ulaya zinakupa hadhi ya ukimbizi fasta
Ila awe tayari kutestiwaUkisema wewe ni shoga na unanyanyasika kutokana na ushoga wako, nchi za Ulaya zinakupa hadhi ya ukimbizi fasta
Ajiandae kisaikolojiaIla awe tayari kutestiwa
Kwa sasa WakiliMkuu tafuta tu viza ya kwenda Rwanda moja kwa moja. Ulaya ukifika tu na hizi koneksheni... Watakurudisha...Rwaaandaaa.Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani ๐
KabisaForm four ufaulu wako ukoje ? Kama ni mzuri ingia kwenye mtandao tafuta chuo ulaya omba lipia ada watakupa barua ya kuombea visa Nenda kasome huku macho juu juu unaangalia fursa.Njia ya kwenda kusoma ndio njia Rahisi sana ya kwenda Ulaya
Mfano nchi gani ya ulaya mkuu ambayo unaweza kuingia kwenye mfumo wao wa ukaaji kirahisi hivyo?Tafuta mtu ambaye ana mtu huko ambaye ameishi kitambo akupe mchongo wa kwenda kutembea. Ukifika unatafuta kazi kama ya kusaidia mgonjwa ambaye anahitaji 24/7 care then utatumia hicho kisingizio kuongeza siku za kuishi hadi watakapokupa kibali cha kukaa miezi mingi zaidi. Hapo utatafuta hata chuo uanze kusoma elimu ya diploma usomee hata unesi then unaunga huko huko kuomba working permit.
๐๐AHAHAHAHH!Atasema ana blidi
Mtafute ommy dimposeHabari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe
N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani ๐
Kutestiwa nini ? Spika kama inalia ?Ila awe tayari kutestiwa