Ahsante kakaKama unafanya service Kwa kutumia oil ambayo sio recommended by manufacturer Hilo TATIZO la kuzungusha bearing litaendelea hata kama utabadilisha engine kilasiku..
Ahsante kaka ila injini ya kwanza ilikuwa msumari hataripk nilikuwa nasema hii nguvu imezidi sio ya injini hii.Yaaninkikuru hivyo vinasumbua Engine acha kupoteza hela nunua engine nyingine weka
Recimmended oil ni ya kampuni gani?Kama unafanya service Kwa kutumia oil ambayo sio recommended by manufacturer Hilo TATIZO la kuzungusha bearing litaendelea hata kama utabadilisha engine kilasiku.
Haiwekan gari imetumika vizuri huko ilikotoka lkn imekuja kwako tayari mkono umezunguka!!
Jaribu kupata ushauri Kwa watu wanaomiliki hayo Magari
Injini mpya inaenda mpaka sh?Yaani kikuru hivyo vinasumbua Engine acha kupoteza hela nunua engine nyingine weka.