Naomba msaada wa matatizo haya ya Suzuki Carry

Naomba msaada wa matatizo haya ya Suzuki Carry

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
448
Reaction score
170
Habari wataalamu

nimenunua Suzuki carry(Kirikuu)
Mara ya kwanza ilikuwa njema sana lakini baadae ikaanza shida ya kula oil baadae ikazungusha mkono. Fundi akashauri tununue injini t.nikafanya hivo.lakini hii injini mpya haina nguvu.

Inachemka sana na inakula oil pia intoa moshi sana sasa je Kuna shida gani naje nikiifanyia overhole haya matatizo yote yataisha au nifanyeje?

Naomba kuwasilisha.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kama unafanya service Kwa kutumia oil ambayo sio recommended by manufacturer Hilo TATIZO la kuzungusha bearing litaendelea hata kama utabadilisha engine kilasiku.

Haiwekan gari imetumika vizuri huko ilikotoka lkn imekuja kwako tayari mkono umezunguka!

Jaribu kupata ushauri Kwa watu wanaomiliki hayo Magari
 
Kama unafanya service Kwa kutumia oil ambayo sio recommended by manufacturer Hilo TATIZO la kuzungusha bearing litaendelea hata kama utabadilisha engine kilasiku.
Haiwekan gari imetumika vizuri huko ilikotoka lkn imekuja kwako tayari mkono umezunguka!!
Jaribu kupata ushauri Kwa watu wanaomiliki hayo Magari
Recimmended oil ni ya kampuni gani?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom