Shedangio
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 448
- 170
Habari wataalamu
nimenunua Suzuki carry(Kirikuu)
Mara ya kwanza ilikuwa njema sana lakini baadae ikaanza shida ya kula oil baadae ikazungusha mkono. Fundi akashauri tununue injini t.nikafanya hivo.lakini hii injini mpya haina nguvu.
Inachemka sana na inakula oil pia intoa moshi sana sasa je Kuna shida gani naje nikiifanyia overhole haya matatizo yote yataisha au nifanyeje?
Naomba kuwasilisha.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app