NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Unachoweza kufanya ni kufanya restore data upya kwenye cm yko kaka. Nenda kule settings kuna program hyoWandugu naomba msaada wenu nifanyeje.
Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi.
Sasa amekuwa akininyima raha na haki ya uhuru binafsi.Ninapopiga simu au hata kutuma message kwa mtu yeyote yeye yuko mbali anajua na ananipigia uliongea na mtu flani hivi na hivi.
Je nichukue hatua gani kuomesha hali hii?