Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza lengo langu.
Kwa kusema kweli bado sina written plan yoyote wala resources zozote za kutimiza ndoto yangu lakini naamini nitafanikiwa tu kikubwa ni kuanza kupiga hatua
Kwa kipindi kirefu teknolojia ya uchawi imekua ikiangaliwa vibaya lakini tujiulize kama kweli uchawi upo je hakuna namna yoyote inawezakana ukatumika kwa mambo ya kutunufaisha? mfano mgonjwa mahututi yupo Kigoma inabidi awaishwe muhimbili badala ya kumpakiza ndege akasafiri kwa masaa kadhaa kwanini asipakizwe kwenye ungo ndani ya dakika moja tu tayari yupo muhimbili
Nafikiri imefika hatua sasa tuiangalie hii teknolojia kwa jicho jema na ikiwezekana ifundishwe kama taaluma zingine, tuache kuuangalia uchawi kama njia ya kutekeleza mambo mabaya tu.