Naomba msaada wa njia rahisi ya kuhama chuo

Naomba msaada wa njia rahisi ya kuhama chuo

ni kweli unayosema ila hawa wadogozetu wanaona ukichukua dip hlf baadae uchukue dgr muda unakua umepotea ndo maama mtu anaona bora achukue degree moja kwa moja ili acheze na muda hata kama akisoma ualimu wa sayansi...

UMEMPOTEZA NA BADO UNAZIDI KUTAKA KUMSHINDILIA MTOTO SHIMONI... ushauri uliompa ni mbovu kuliko wote and trust me huyo dogo atakulaumu maisha yake yote mara tu atakapopata hiyo kazi ya huo ualimu unaouita wa science...
#ni walimu wenye mzigo mkubwa mno wa vipindi na wako wachache..hapa lazima atumike mno no matter amepangiwa sehemu gani
#kumbuka ualimu hauna extra benefits.. pamoja na kuwa na rundo la majukumu still mshahara atapata sawa na mwl anayefundisha civics... na mashavu ya ziada kama (marking and invigilating..seminers) akabaniwa vilevile *ni tasnia yenye majungu..ukiritimba na manyanyaso**
......mtu mwenye diploma ya hicho kitu alichotaka kukisomea degree akakikosa atapiga mpunga mnene plus allowances nyingi kumshinda..hii itamuongezea chuki juu yako.
......
KUNA WADAU WAMEKUSHAURI AOMBE DIPLOMA HAO WAKO SAHIHI...ni bora akaapply tena mwakani kwa umakini zaidi kuliko hiyo course uliyomshauri wewe..
huu mwaka mmoja akasomee hata certificate ya maana (ardhi au dsm marine institute..au hata computer uccc)..ili mwakani aapply hiyo degree ya ndoto zake
 
Back
Top Bottom