Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu?

Naomba mnisaidie haya maswali ya:

1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the electron mass to proton mass.

2.Find the ratio of Rydberg constant for deuterium and hydrogen

Wadau naomba na solution mnitumie ili nielewe!

Karibuni Sana
 
Yani ndio tumeuanza mwaka na maswali😠😠, vumilia kwanza shule zifunguliwe🤣🤣😂. See u then📕
Mkuu kama unauelewa naomba unisaidie kusolvu hayo maswali
 
Ntafute nikufundishe general chemistry utembeze maswali hayo kijana
 
Nawashangaa vijana yani sijui google kwa tanzania walipookea vipi !
mtu unaweza kumuuliza nitafutie jambo fulani au anabisha bila jibu ila ana simu anabaki kuuliza
 
Nawashangaa vijana yani sijui google kwa tanzania walipookea vipi !
mtu unaweza kumuuliza nitafutie jambo fulani au anabisha bila jibu ila ana simu anabaki kuuliza
Nimejaribu kugugo sioni solution mkuu!!! Kama una aidia naomba msaada wako
 
Back
Top Bottom