NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Tatizo linaanzia hapo, mwite fundi aangalie ni jinsi gani atakwangua kisha kwa kuanzia chini ya madirisha ipigwe niru yenye cementi kali karibia na ile ipakwayo sakafuni.Maana ikiachwa hukata kabisa na kutoboa matofali na kwa ndani uweke mkanda wenye cementi kali sana lakini pachimbwe nchi angalau mbili kwenda chini, na ukimwagwa juu mkanda uwe wa nchi nne.naam mkuu chumvi kwa kweli ipo