OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mbona wazungumzia chanzo cha tatizo bila majibu ya utatuzi?Hiyo ratio iliotumika kupiga plasta ni mbovu sana...
Japo ni fungus lakini plasta na skimming ni mbovu sana....hii ni jenga uza..
Nunua white skim..fundi apige mikono mitatu, kama unataka na dawa ya fungus wanayo pia.
Angepiga plasta vizuri, hyo powder ingekuwa inabanduka bila cement