NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Tatizo linaanzia hapo, mwite fundi aangalie ni jinsi gani atakwangua kisha kwa kuanzia chini ya madirisha ipigwe niru yenye cementi kali karibia na ile ipakwayo sakafuni.Maana ikiachwa hukata kabisa na kutoboa matofali na kwa ndani uweke mkanda wenye cementi kali sana lakini pachimbwe nchi angalau mbili kwenda chini, na ukimwagwa juu mkanda uwe wa nchi nne.naam mkuu chumvi kwa kweli ipo
Hongera, picha zimeamua kujichora zenye we ukutaniHabarini wakuu naomba msaada wa tatizo langu hilo kwenye ukutani.
Je, ni tiba gani inafaa hapo ili tatizo liondoke moja kwa moja?
Shukrani
View attachment 2535727View attachment 2535729
kama umenunua bila shaka ni Jenga Uzanyumba nimenunua
Plasta ni lazima iwe kali pia, asisahau hilo.Ukiachilia tatizo la chumvi ,aliyefanya plastering & skimming kakupiga ,ratio ya cement na mchanga haikuwa sawa.
Kama mfuko unaruhusu ,piga plasta upya nyumba zima then skimm na white cement
Ratio tumia 1:2
Dah simchezoo nitaangalia shukran mkuuUkiachilia tatizo la chumvi ,aliyefanya plastering & skimming kakupiga ,ratio ya cement na mchanga haikuwa sawa.
Kama mfuko unaruhusu ,piga plasta upya nyumba zima then skimm na white cement
Ratio tumia 1:2
sawa mkuuUsisahau kusimamia wewe mwenyewe hasa kwenye ratio
😂😂kama umenunua bila shaka ni Jenga Uza
1. mfuko mmoja wanatoa tofali mia
2. mfuko mmoja plasta vyumba vitatu
Pitia hapo,upate maelekezo ya kinaHabarini wakuu naomba msaada wa tatizo langu hilo kwenye ukutani.
Je, ni tiba gani inafaa hapo ili tatizo liondoke moja kwa moja?
Shukrani.
Hiyo si Fungus...Hiyo ni Fungus
Treatment yako ni kukwangua hiyo sehemu yote iliyoharibiwa na fungus , then unatumia sikaguard baada ya hapo unafabya skimming , then beforw hujapiga rangi unairudia tena ile sika guard
Baada ya happ ukipiga rangi hiyo hali haijirudii tena
Kwenye Shambulio la chumvi dhidi ya ukuta, ratio ya binder huwa siyo kigezo,,,Hiyo ratio iliotumika kupiga plasta ni mbovu sana...
Japo ni fungus lakini plasta na skimming ni mbovu sana....hii ni jenga uza..
Nunua white skim..fundi apige mikono mitatu, kama unataka na dawa ya fungus wanayo pia.
Angepiga plasta vizuri, hyo powder ingekuwa inabanduka bila cement
Nailoni ni rahisi kuchanika, kutoboka na nyembamba sana,Wakati wa ujenzi uliweka yale lile nailoni la kuzuia maji maji yasipande ukutani?
Nyumba yako ilipo ilikuwa ni eneo la maji kutuhama?
Kuna mabomba yamepita ndani ya kuta eneo hilo?
bongo unapata hadi nyumba fekiHabarini wakuu naomba msaada wa tatizo langu hilo kwenye ukutani.
Je, ni tiba gani inafaa hapo ili tatizo liondoke moja kwa moja?
Shukrani.
Kuna nailoni zake ambazo ni spesho kwa ajili ya kwenye mkanda kabla hujapandisha tofali zinauzwa madukani,uko kuchanika ama kutoboka mie sijaona wala kukutana naloNailoni ni rahisi kuchanika, kutoboka na nyembamba sana,
Halafu plasta inatengeneza bridge ya unyevu kwenda juu
na mjini hakuna kitu kinachotupwabongo unapata hadi nyumba feki
Fafanua aende kufanyejeNenda Nabaki Afrika