Naomba msaada wa tatizo hilI ukutani

Mbona wazungumzia chanzo cha tatizo bila majibu ya utatuzi?
 
Kuna nailoni zake ambazo ni spesho kwa ajili ya kwenye mkanda kabla hujapandisha tofali zinauzwa madukani,uko kuchanika ama kutoboka mie sijaona wala kukutana nalo
Niskilize kwenye hili, nailoni haitakiwi kutumika,,kuuzwa dukani siyo tatizo.
Kuna Ringi za za pembe tatu zinauzwa dukani japo haitakiwi kuwa na beam au nguzo yenye nondo tatu....

Matilio yoyote ya kutumika, inatakiwa iwe na thickness ya 10mm,Nailoni ni chini ya 2MM.

Hapo ni kusaka Membrane ya metals e.g copper ,aluminium au membrane ya Polyethylene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…