Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Account ya chuo hiki hapaChuo kina account number,kwa nini unataka upokee michango mkononi?
Weka na akaunti namba ya chuo kuonyesha unaaminika
Mkuu kuna koo nyingine hazina ushirikiano!Wana ukoo wako umewashirikisha??? Itisha kikao kama cha harusi kwa ndugu na marafiki kisha uwashirikishe hii kitu. Kama harusi tu michango inafanikiwa na hili lako nalo litafanikiwa kwa njia hiyo
Mkuu lengo langu ni kutaka kusajiliwa kwanza,halafu mengine yatajulikana mbele kwa mbele,Nami najiuliza awamu nyingine itakuaje, na mambo ya msosi n.k itakuaje, hali imekua mbaya
Kuna tangazo la Dstv ktk mabango, linapotosha, eti VYUMA VIMEACHIA!Vyuma vimekaza
Hapo ktk jina la chuo: WATER INSTITUTEAccount ya chuo hiki hapa
Jina:Water Development and Management Institute
Akaunti :22501000004
Benki:NMB Mlimani City Branch,Dar es Salaam.
Sipo hapa kwa nia ya kitapeli.
Nimeweka namba hapa kwa sababu,siku ya kuripoti natakiwa niwe na risiti za benki na si vinginevyo!
Vyuma bado vimekazaKuna tangazo la Dstv ktk mabango, linapotosha, eti VYUMA VIMEACHIA!
Okay kila laheriMkuu lengo langu ni kutaka kusajiliwa kwanza,halafu mengine yatajulikana mbele kwa mbele,
Uza hio Sony Xperia ulipe ada. Acha ubishoo napata mashaka mtu mwenye shida ya hivyo kumiliki smartphone ya gharama ni kama usiku na mchana!
duu watu mnajua kuzoomUza hio Sony Xperia ulipe ada. Acha ubishoo napata mashaka mtu mwenye shida ya hivyo kumiliki smartphone ya gharama ni kama usiku na mchana!
Huyu dogo sidhan kama yupo serious. Amepewa ushauri atafute kazi hata ya ulinzi au kuuza simu aliyonayo.mwisho mpaka lini uwe umelipia
asante kwa kunishauri nimeelewa sanaHuyu dogo sidhan kama yupo serious. Amepewa ushauri atafute kazi hata ya ulinzi au kuuza simu aliyonayo.
Huyu dogo sidhan kama yupo serious. Amepewa ushauri atafute kazi hata ya ulinzi au kuuza simu aliyonayo.