kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,615
- 1,805
Unasemaje mkuuPole sana Mkuu but kama uliipigua kura CCM hiyo dhambi itakutafuna mpaka kudisco.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje mkuuPole sana Mkuu but kama uliipigua kura CCM hiyo dhambi itakutafuna mpaka kudisco.
Tena Leo bet mechi 2.tu weka 360000. Upige kama ml4Mkuu nenda ka bet au kacheze BIKO au Tatu mzuka mbna hela zko wazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu humu inabamba michango ya harusi, ama ungekuwa she. Vinginevyo Vuta subiraHabari za muda huu wana Jamii forum,
Mimi ni kijana ambaye nimechaguliwa chuo cha maji ngazi ya stashahada kozi ya Water Supply and Sanitation Engineering mwaka huu.
Naomba mchango wenu wa tsh. 250,000 ili niweze kulipia semester ya kwanza.Kwa sasa ninacho kiasi cha Shilingi.360,000 na malipo kwa Semester ni Sh.610,000.
Chuo kitafunguliwa tarehe 23 mwezi huu.
kwa yeyote atakayekuwa na nia ya kunisaidia atumie namba 0689997808,Jina:Thomas Mbata.Mara nyingi namba haipatikani kwa sababu natumia simu ya kuazima tu.
Ni mara ya pili sasa nachaguliwa kujiunga na chuo,mwaka jana nilipangiwa Vikindu TTC lakini sikuweza kuripoti kwa kukosa fedha.
Naambatanisha screenshot ya sehemu ya orodha ya waliochaguliwa Batch II ya chuo cha Maji,jina langu lipo namba 151.
Mungu awabariki sana!
Kamwene mugosiDaaah vakukaye myangu nyeee!
Hahahahaaaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Uchaguzi mkuu 2015 kura ulipiga? Na ulimpa nani kura yako? Kati ya elimu bure had fm4 au elimu bure had chuo?
Kweli kabisa!!Pole sana Mkuu but kama uliipigua kura CCM hiyo dhambi itakutafuna mpaka kudisco.
Aiseee hao wana-ukoo ndio nyoko kabisa mkuu, mimi nlisoma kwa tabu na hawa watu wakawa wanakula bata zao tu, nakumbuka siku hiyo nimeenda kwa shangazi yangu flani hivi segerea kule japo anisaidie kdg akanitolea nje. Leo me napiga pesa wana-ukoo ndio wananijua kinoma ma aaaa mae zaoWana ukoo wako umewashirikisha??? Itisha kikao kama cha harusi kwa ndugu na marafiki kisha uwashirikishe hii kitu. Kama harusi tu michango inafanikiwa na hili lako nalo litafanikiwa kwa njia hiyo
Aiseee mwanangu komaaaa, natamani ningekusaidia mwanangu ila ndio hivyo tu kuna mambo yananibana ila mimi pia nliyapitia kama wewe, nliingia mwanza saa tano usiku na NAJMUNISA huku nkiwa na shilingi 39,000. sina chumba, sina chochote na hapo nshachelewa wiki mbili watu washaanza kusoma ila mwisho wa siku mungu alileta rehma zake. Komaaaa mtu wangu utatoboa tuMkuu lengo langu ni kutaka kusajiliwa kwanza,halafu mengine yatajulikana mbele kwa mbele,
Fuata huu ushauri mwanangu, hebu waone church kwako au masjid hawa jamaa watakusaidia. Humu JF tutakusimanga tu mwanangu na kukuona mwizi au tapeli (trust me). Humu kila mtu m.a.a.m.a.e. ana gari kali lakini kwenye suala la msaada hamna humu. Big up maguluashimba kwa ushauri mzuri kwa kijanaMkuu ebu waone viongozi wa kanisa lako au msikiti au jumuia watakusaidia. Nenda fasta usipoteze muda...
Oya mkuu, kama una nia ya kumsaidia wewe msaidie tu. sasa akatafute kazi ya ulinzi leo? huo mshahara atalipwa lini? na deadline ya kulipia chuo imefika. Hebu kueni mnafikiria basi kidogo.asante kwa kunishauri nimeelewa sana
We huyajui maisha halafu tuliza akili, Mimi nlikwenda chuo sina ada wala nini, nlikuwa nanunua mkate wa buku nakunywa chai saa tano nusu kipande halafu namalizia nusu kipande chengine saa kumi na mbili jioni nalala. kipindi kimoja asubuhi kimoja jioni kikiisha cha asubuhi nalala msikitini mpaka jioni maana mia mbili ya daladala ya kurudi ghetto ambako nlifadhiliwa tu na mshkaji sikuwa nayo. ila mbona nlimaliza na sasa good times?? sikujali stationeries, sikujali sana ishu ya meals.Mkuu hayo unayojaribu kufanya sio maisha. Yani unataka ulipe ada tu? Zile direct cost mbona huombi? Accommodation na meal costs unazo? Nauli vp? Stationeries vipi? Second year utarudi na ngoma kama hii au utakua ushaanzisha bendi? Weka akaunti yachuo kama unahitaji kusaidiwa