Naomba msaada wa Tsh.250,000/=

Chuo kina account number,kwa nini unataka upokee michango mkononi?

Weka na akaunti namba ya chuo kuonyesha unaaminika
Account ya chuo hiki hapa


Jina:Water Development and Management Institute


Akaunti :22501000004


Benki:NMB Mlimani City Branch,Dar es Salaam.


Sipo hapa kwa nia ya kitapeli.


Nimeweka namba hapa kwa sababu,siku ya kuripoti natakiwa niwe na risiti za benki na si vinginevyo!
 
Wana ukoo wako umewashirikisha??? Itisha kikao kama cha harusi kwa ndugu na marafiki kisha uwashirikishe hii kitu. Kama harusi tu michango inafanikiwa na hili lako nalo litafanikiwa kwa njia hiyo
Mkuu kuna koo nyingine hazina ushirikiano!
 
Mkuu ebu waone viongozi wa kanisa lako au msikiti au jumuia watakusaidia. Nenda fasta usipoteze muda...
 
Hapo ktk jina la chuo: WATER INSTITUTE
 
Nakushauri kwanza badili hilo jina lako,weka jina lako kamili,weka vyeti vyako halali,weka kila kitu wazi,weka account ya chuo,baada ya hapo nami nitakusaidia kidgo,lakin je umejiuliza baada ya semester ya kwanza yapili utalipaje?? Weka kila kitu waz usiombe msaada kwa fake I'd utakwama..nitakuchangia ntakavhojaliwa usijali
 
Mkuu hayo unayojaribu kufanya sio maisha. Yani unataka ulipe ada tu? Zile direct cost mbona huombi? Accommodation na meal costs unazo? Nauli vp? Stationeries vipi? Second year utarudi na ngoma kama hii au utakua ushaanzisha bendi? Weka akaunti yachuo kama unahitaji kusaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…