Naomba msaada wa Tsh.250,000/=

Mkuu humu inabamba michango ya harusi, ama ungekuwa she. Vinginevyo Vuta subira
 
Matapeli ni wengi ndugu yangu. Ungekuwa na ID ya jina lako, ukaweka vyeti vyako na hayo matokeo ungepata msaada chap tuu. Ukisema namba ni hyo na jina ni hlo kwenye list watu ni vigum kuelewa maana siku hz hata ukiwa unasajili lain wanakuuliza tuandike jina hili au lingine. Kuwa serious utasaidiwa.
 
TUKIWAAMBIA SIASA NA UCHAGUZI NI WA KILA MTU MLITUONA WAJINGA.KAMUOMBE MBUNGE WAKO HIYO HELA NDOGO SANA
 
Achana na habari ya chuo chukua mkokoteni weka matunda pita mitaani utatoboa mpaka ushangae, over
 
Ndugu kama unabnia yabkumsaidia huyu mwenzetu msaidieni. Unapotoa msaada nafikiri hautegemeibmalipo kutoka kwake. Maana anayekulipa ni mwenyezi Mungu. Na kama ameomba msaada kitapeli basi laana na adhabu za umaskini zitamfuata hadi kaburini kwake. Ila kam ameomba kwa nia basi Mungu ninayemwamini mimi awe pamoja naye kila atokapo na aingiapo. Kama una nia ya kumsaidia mrumie hata kama nibelf 5 itasaidia. Ila kama hauna nia tusimtukane
 
hiyo 360,000 uliyokuwa nayo kabeti mechi za leo utapata hela zaidi ya hiyo 250,000 unayohitaji.
 
Wana ukoo wako umewashirikisha??? Itisha kikao kama cha harusi kwa ndugu na marafiki kisha uwashirikishe hii kitu. Kama harusi tu michango inafanikiwa na hili lako nalo litafanikiwa kwa njia hiyo
Aiseee hao wana-ukoo ndio nyoko kabisa mkuu, mimi nlisoma kwa tabu na hawa watu wakawa wanakula bata zao tu, nakumbuka siku hiyo nimeenda kwa shangazi yangu flani hivi segerea kule japo anisaidie kdg akanitolea nje. Leo me napiga pesa wana-ukoo ndio wananijua kinoma ma aaaa mae zao
 
Mkuu lengo langu ni kutaka kusajiliwa kwanza,halafu mengine yatajulikana mbele kwa mbele,
Aiseee mwanangu komaaaa, natamani ningekusaidia mwanangu ila ndio hivyo tu kuna mambo yananibana ila mimi pia nliyapitia kama wewe, nliingia mwanza saa tano usiku na NAJMUNISA huku nkiwa na shilingi 39,000. sina chumba, sina chochote na hapo nshachelewa wiki mbili watu washaanza kusoma ila mwisho wa siku mungu alileta rehma zake. Komaaaa mtu wangu utatoboa tu
 
Mkuu ebu waone viongozi wa kanisa lako au msikiti au jumuia watakusaidia. Nenda fasta usipoteze muda...
Fuata huu ushauri mwanangu, hebu waone church kwako au masjid hawa jamaa watakusaidia. Humu JF tutakusimanga tu mwanangu na kukuona mwizi au tapeli (trust me). Humu kila mtu m.a.a.m.a.e. ana gari kali lakini kwenye suala la msaada hamna humu. Big up maguluashimba kwa ushauri mzuri kwa kijana
 
asante kwa kunishauri nimeelewa sana
Oya mkuu, kama una nia ya kumsaidia wewe msaidie tu. sasa akatafute kazi ya ulinzi leo? huo mshahara atalipwa lini? na deadline ya kulipia chuo imefika. Hebu kueni mnafikiria basi kidogo.
 
We huyajui maisha halafu tuliza akili, Mimi nlikwenda chuo sina ada wala nini, nlikuwa nanunua mkate wa buku nakunywa chai saa tano nusu kipande halafu namalizia nusu kipande chengine saa kumi na mbili jioni nalala. kipindi kimoja asubuhi kimoja jioni kikiisha cha asubuhi nalala msikitini mpaka jioni maana mia mbili ya daladala ya kurudi ghetto ambako nlifadhiliwa tu na mshkaji sikuwa nayo. ila mbona nlimaliza na sasa good times?? sikujali stationeries, sikujali sana ishu ya meals.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…