HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 306
- 109
Habari wakuu,
kuna mdogo wangu mwaka jana mwezi wa kumi alipeleka maombi ya kazi katika kampuni fulani.
Maombi yake hayajajibiwa mpaka leo, lakin mwezi wa sita mwaka huu mdogo wangu alikutana na rafiki yake ambaye alimpa hongera kwa kuajiriwa katika kampuni ile ambayo hata maombi hakujibiwa.
Kilichotokea ni kwamba lile kampuni lilituma taarifa za dogo Ofisi za wakaguzi kwamba yeye pia ni mmoja wa waajiriwa wa hiyo kampuni na huko ndiko anakofanyia kazi huyo rafiki yake.
Nahitaji ufafanuzi wa kisheria kwa mtu au kampuni kutumia nyaraka za mtu kama vyeti...n.k bila ridhaa ya muhisika. Kama hivyo dogo katuma maombi ya kazi hawamuajiri lakin wanatumia taarifa zake kwamba wamemuajiri.