Naomba msaada wa ufafanuzi wa kisheria

Naomba msaada wa ufafanuzi wa kisheria

HardMartin

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
306
Reaction score
109
Habari wakuu,
kuna mdogo wangu mwaka jana mwezi wa kumi alipeleka maombi ya kazi katika kampuni fulani.
Maombi yake hayajajibiwa mpaka leo, lakin mwezi wa sita mwaka huu mdogo wangu alikutana na rafiki yake ambaye alimpa hongera kwa kuajiriwa katika kampuni ile ambayo hata maombi hakujibiwa.
Kilichotokea ni kwamba lile kampuni lilituma taarifa za dogo Ofisi za wakaguzi kwamba yeye pia ni mmoja wa waajiriwa wa hiyo kampuni na huko ndiko anakofanyia kazi huyo rafiki yake.
Nahitaji ufafanuzi wa kisheria kwa mtu au kampuni kutumia nyaraka za mtu kama vyeti...n.k bila ridhaa ya muhisika. Kama hivyo dogo katuma maombi ya kazi hawamuajiri lakin wanatumia taarifa zake kwamba wamemuajiri.
 
Aisee! Ngoja waje wajuzi wa sheria. Kiukweli ni kosa.
 
hiyo kampuni inaweza kushtakiwa kwa makosa mengi, ninayoyaona hapo ni kutoa taarifa za uongo kwa mamlaka pamoja na kughushi nyaraka
 
lipia consultation fee nikusaidie wanasheria hatufanyi kazi ya bure
 
Nashukuru.kwa jibu lako mkuu, nimepata jibu pia kwanini sikupata.msaada.wowote hapa mpaka muda huu. Nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom