Naomba msaada wa ushauri kuhusu MABOTO microfinance


USIKOPE, Endeleza Biashara taratibu nawombe Mungu.
 
Riba nimeshaweka, sababu ya riba kuwa kubwa au ndogo nimeweka mpaka kanuni ya kupata makato yetu platinum nimeweka bado hujaridhika tu ndugu?

Itakua unataka mabishano tu sasa ila sio kueleweshana
Platinum hovyo mno,wahuni kuanzia manager na wafanyakazi .ukiingia umeumia
 
Plantnum hapana wanakaribiana na nmb mng'ato, post: 19460981, member: 255832"]Platinum?Hapana aisee.

Huko watu wanakopaga million 1 unarudisha mil 2.[/QUOTE]
hapana no
 
Kukopa milioni 1 ukarudisha 2 kuna tofauti gani na kukopa 6 ukarudisha 9?
Tofauti ipo.

Ukikopa 6 ukirudisha 12 unakua umefanana na alikopa 1 akarudisha 2.

100% riba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…