mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Maboto wanakataa kuuza deni sijui nifanyake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninashida ya mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara zangu na sikuwahi kukopa taasisi yoyote ya kibenki lakini kwa sasa nahitaji mkopo.
Nimetembelea taasisi za kibenki tatu lakini kuna masharti magumu sana na wengine kama CRDB hawakopeshi kabisa mpaka sasa.
Nimekutana na taasisi binafsi iitwayo MABOTO MICROFINANCE hawa jamaa wanatoa mkopo wenye marejesho ya riba ya jumla ya 50% kwa mda mliokubaliana e.. ukikopa 6,000,000 Millions utarejesha 9,000,000.
Kwangu nmeona n nafuu kuliko hesabu za benk kama NMB ambapo kwa hicho kiasi e.g 3 years unarejesha zaidi ya 10,000,000 Millions ukiacha mbali gharama za INSURANCE, processing n.k
Nahitaji ushauri wa kitalaam kabla sijafanya maamuzi haya.
Msaada wenu please
Platinum hovyo mno,wahuni kuanzia manager na wafanyakazi .ukiingia umeumiaRiba nimeshaweka, sababu ya riba kuwa kubwa au ndogo nimeweka mpaka kanuni ya kupata makato yetu platinum nimeweka bado hujaridhika tu ndugu?
Itakua unataka mabishano tu sasa ila sio kueleweshana
Siliano yao tafadhaliMaboto wako poa hawana complications sana
mawasiMaboto wanakataa kuuza deni sijui nifanyake?
Ngoja nikujie PMNaomba mawasiliano ya maboto niwatwangie cm
mawasi
Tofauti ipo.Kukopa milioni 1 ukarudisha 2 kuna tofauti gani na kukopa 6 ukarudisha 9?