Naomba msaada wa Ushauri kwa mwenye uelewa wa engine za VVTI D4?

Mkuu ni vyema kabla ya kununua gari utafute ushauri kwa wajuvi wa mambo maana maswala ya magari ni taaluma nyeti inayohitaji ufahamu wa kina. Usione watu wanaendesha maVogy na maBenz wana hela hao hata Spears wakiambiwa waagize ulaya fasta wanaagiza, kwa sisi kajamba nani ndio unaona vivitz na viIST vimejaa barabaran kusevu chenchi

Mkuu hii gari nimenunua bei ya kawaida tu hata ni cc 1990 niliuliza kuhusu spea pia nikaambiwa zipo sasa nimevurugika kuhusu engine niliposoma hapa kua D4 zina mushkeri na wewe ukaongeza kuhusu ununuaji wa mafuta maana najijua harakati zangu sijawahi kufuatilia sana kituo gani niwe nanunua mafuta,duh nimechoka.
 
b3bc176eac7c2bb9738930bd50984b42.jpg

Mkuu naomba msaada wako maana nimeagiza Caldina na ina engine ya D4 nimeona huu uzi nimeshtuka kidogo nipe uzoefu wako wa nini nifanye maana nimeshaagiza tayari naomba kujua hasa kwenye ishu ya mafuta naona wadau wanasema mafuta yetu ni tatizo kwa D4 na lolote lile ambalo ni usefull ili niifanye motorcar yangu isiwe kimeo.

Nashidwa kuelewa kwanini watanzania tumezidi kwa uwongo na kuchangia hata tuichokijua, utasemaje D4 Engine ni ugonjwa wa moyo? Come on guys. Mi nina Vista Ardeo D4 Engine huu mwaka wa saba sasa na haina shida, yaan nimeisha safiri nayo nchi nzima bila shida na hata sasa hivi ukinambia twende wapi, ni mafuta tu then safari.

Cha msingi hapa kwa haya magari ya kisasa ni service na maintainance tu, vitu vyote vinataka nidhani ni sawa na kusema ipad au tablet sio komputer nzuri sababu ni delicate....come on !!!!

Tuache uwongo.

Mwenye tatizo na Engine ya D4 aniulize nimsaidie.

maana mara nyingi ni sensor tu ndo zinazengua na unakuta ni uchafu tu ilaukisafisha au kuipa safari ndefu kidogo ule uchafu unaungua then haiwezi kusumbua. Tatizo kubwa la kuwa nayo makini ni service tu. na aina ya engine oil na air filter lazima viwe geniune.

pia usiende kwa mafundi wasio na komputa, maana mfumo wake ni wa kisasa so lazima waipime kwa komputa ndo utajua tatizo nini.

Mara nyingi inakuwa na mis au kuzima zima ambao ni tatizo dogo sana kama nilivyoeleza hapo juu.

Yes kwa swala la mafuta, usiweke ya mtaani kwenye madumu, weka vitu ambavyo unauhakika navyo na usiwe unabadiri badiri.

Mi nina genereta ya diesel na nissan patrol ya diesel td 42 engine, juzi nimejisahau nikaweka petrol kwenye jenereta baada ya muda ikaleta mis za ajabu na iakazima mpaka nime drain mafuta yote na kusafisha then kuweka diesel ndo ikawaka, so hayo mafuta yenye mchanganyiko wa diesel na petrol nikaongeza diesel na kuyatumia kwenye nissan maana sikutaka kujaribu kwenye D4 Engine hahahaha nadhan ndo ungekuwa mwisho wake hahaha
 
hongera sana mkuu ni kweli lakini hatuja mtisha au mwogopesha maana ss na ww wote tupo kundi moja hayo maangalizo na ushauri uliompa ndio na ss tuliokuwa tunampa? na humo ndio kwenye huo ugonjwa wa moyo .
 
Nadhani d4d ni nzuri unywaji wake wa mafuta lakini iwe deisal tatizo watu wengi hawajui kua gari zote za siku hizi ni timing belt ikifika malis laki moja unatakiwa ubadilishe belt
 
gari za sasa hivi sio timing belt mkuu bali ni timing chain
 
No sio chain belt isipokua Nissan ndio chain belt zilobaki zote ni combelt
 
Ingia kwenye Google utaona gari za zamani ndio chain belt ndio maana Toyota nyingi d4d bongo wanaziona kua mbovu hawajui kama gari ikizidi miles 100000 ubadilishe wao wanaendesha tu
 
mkuu gari nyingi sasa hivi unatumia timing chain wacha ubishii.gari ndogo karibia zote ni timing chain nitajie gari ya miaka ya 2000 inayotumia timing belt.rav 4 kill time/passo/vits/runx/alex/nissan karibia zote/spacio/mark x/crown n.k
 
Wakuu nina mpango wa kununua Brevis ambayo pia engine yake ni D4, na jamaa wa mtaani wananiambia hiyo gari ni nuksi kwa kuchemsha. Wazoefu naomba mnijuze kwani gari hii ndio chaguo langu haswaa.
 
Wakuu nn kinasababsha cylinder gasket iungue, na kwa noah(voxy) bei yake dukan sh ngap?!,
 
Wakuu nina mpango wa kununua Brevis ambayo pia engine yake ni D4, na jamaa wa mtaani wananiambia hiyo gari ni nuksi kwa kuchemsha. Wazoefu naomba mnijuze kwani gari hii ndio chaguo langu haswaa.
Hamna kitu kama hicho chukua mkuu ya cc 2500. Hutajuta.
 
Wanaosema d4 sio nzr sio mafundi wababaishaji tu mm ninayo mwaka wa 5 haijawahi nizingua tena masafa marefu mimwendo wamafuta nakusepa kikubwa nikuzingatia service tu kwa engine ya aina yyte ile.
 
mkuu gari nyingi sasa hivi unatumia timing chain wacha ubishii.gari ndogo karibia zote ni timing chain nitajie gari ya miaka ya 2000 inayotumia timing belt.rav 4 kill time/passo/vits/runx/alex/nissan karibia zote/spacio/mark x/crown n.k
Uko sahihi mkuu...mabo ya timing belt yalishaachwa tangu miaka ya 1999 huko...sasa ni mwendo wa timing chain kwa magari mengi tu...
Na mara nyingi life span ya timing chain huwa ni sawa na life span ya injini
 
Back
Top Bottom