Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

Acheni kupenda kesi kesi, mnaliwa hela bure kumbe usikute huyo mama alikuwa haelewi anachoelekezwa. Nenda nae benki ukapate ufafanuzi pia. Ama fanya haya,

Nenda ofisi zao za kanda pale kenyatta ama lifikishe makao makuu yao upate msaada zaidi. Wakikuzingua peleka BOT upate msaada zaidi.

Sio kila jambo linahitaji wakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…