Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Acheni kupenda kesi kesi, mnaliwa hela bure kumbe usikute huyo mama alikuwa haelewi anachoelekezwa. Nenda nae benki ukapate ufafanuzi pia. Ama fanya haya,Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita.
Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala.
NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA
Nenda ofisi zao za kanda pale kenyatta ama lifikishe makao makuu yao upate msaada zaidi. Wakikuzingua peleka BOT upate msaada zaidi.
Sio kila jambo linahitaji wakili.